Mkurugenzi
Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya
Bunge ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya Mhe. Lediana Mg'ong'o
Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akitoa taarifa
kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya inayoshughulikia masuala ya Ukimwi
na Madawa ya Kulevya walipotembelea Makao Makuu ya PSPF, jijini Dar
es salaam.Kushoto ni viongozi wa Kamati hiyo Mhe. Diana Chilolo,
Makamu Mwenyekiti na Lediana Mg’ong’o, Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na
Madawa ya Kulevya Mhe. Lediana Mg'ong'o akisisitiza jambo wakati
akizungumza na viongozi na watendaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF
wakati kamati anayoiongoza ilipotembelea makao makuu ya mfuko huo leo
jijini Dar es salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF,
Bw. George Yambesi na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu.
Wajumbe wa Kamati ya ya Bunge ya Ukimwi na Madawa ya
Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa mfuko wa
Pensheni wa PSPF mara baada ya kuhitimisha ziara yao makao makuu ya
mfuko huo jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...