Bi. Pilly Mpenda na Familia ya watoto wa marehemu Harun Kiwanga wanapenda kuwakaribisha katika Dua ya kumrehemu mpendwa wao ,Marehemu ULLY HARUN KIWANGA ambaye anatimiza mwaka mmoja toka kufariki kwake,hapo kesho siku ya Jumapili tarehe 15.3.2015 kuanzia saa 5 asubuhi nyumbani kwao Kinondoni Block 41. Karibuni sana
Home
Unlabelled
KUMBUKUMBU YA Marehemu ULLY HARUN KIWANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mola akuondolee adhabu za kaburi amin.binadamu akifa sisi tulio hai tumsitiri km tutakavo kuja kusitiriwa sisi tujitahidi inshallah kuangalia na aina ya picha tunazotoa kumtambulisha marehemu .naamini uli ana picha nyingi na nzuri za kumtambulisha kwa asiyemjua inshallah michuzi ujumbe umefika unaweza hata kubadilisha picha ama kuitoa kabisa japo mimi si mwana familia naamani familia itanielewa inshallah naamini dua nzito kutoka sheikh Ali Au kambi mola atazipokea .na amuondolee marehemu adhabu za kaburi na akhera amin
ReplyDelete(Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun) . Mie nnavyoamini kitakachomfaa mtu once akishatangulia mbele ya haki, huwa si kingine chochote zaidi ya AMALI yake. Na kama kustirika, basi kwa umauti binaadam anakuwa keshastirika Alhamdulillah, tuzidi kumuombea apumzike kwa amani huko aliko In Sha Allah - Ameen. Sidhani kama hiyo picha itakuwa mushkel au kubadili/kuathiri wasifu wa marehemu. Kikubwa ni dua zetu kwa marehem na si kinginecho. In Sha Allah.
ReplyDelete