Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,

Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.

pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zake
Kamanda Ras Makunja (pili kushoto) akiongoza mashambulizi.
Nyomi si la kawaida.
Kamanda Mkuu wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni,Ibrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Kamunja akiokwa na kikosi kizima.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Chonde ! Chonde wasanii mnaoishi hapa bongo msijaribu kutinga jukwaani na viwalo vya kijeda sheria hapa kwetu tofouti na ughaibuni

    ReplyDelete
  2. inabidi nicheke sana na vituko vya vichaa Ngoma Africa band aka watoto mbwa au FFU inaelekea jamaa walikuwa tayari kwa lolote lile! maana ujerumani
    inawezekana kabisa Neo Nazi kuvamia onyesho

    ReplyDelete
  3. Kamanda ras makunja usituponze wenzio tulio nyumbani kaka

    ReplyDelete
  4. kweli kwa baba wa kambo hakuna ubaya,machizi mmenunuliwa viwalo vipya
    baba wa kambo mlezi mwema,mkitoka hapo mnaenda kumuimba na mkutukana

    ReplyDelete
  5. Kamanda mkuu ras makunja mmiliki wa himaya ya viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens hongereni sana,sio kazi rahisi kuwapo ktk gemu kwa miaka 22 katika majukwaa ya ughaibuni,na kuongoza mzimu
    wa muziki Ngoma Africa bila ya kutaka udhamini wenye masharti .mkuu nakupigia saluti.
    Mdau
    Mabibo,Dar

    ReplyDelete
  6. Kamanda, naona mambo yalikuwa mkubwa sana siku hiyo watu wakichezeshwa ligwaride kwa kupenda wenyewe bila shuruti.

    ReplyDelete
  7. Kikamanda ketu cha ffu ras makunja,kijamaa kina roho ngumu kila penye utata anapeleka baraha

    ReplyDelete
  8. FFU mnaponiacha hoi kuwa mnajiamini sana ,sasa nasikia mlisindikizwa na polisi maalumu na nyinyi wenyewe mmepiga viwalo vya kijeda

    ReplyDelete
  9. Ngoma Afrika band you guys not nomal
    so crazy! mnapewa polisi escort halafu na nyinyi mna uniform! Crazy musicians.
    any way big up
    Dorice Wanjiru.
    Stuttgart/Germany

    ReplyDelete
  10. sijawahi kuona wanamuziki vichaa kama ngoma africa hawa jamaa wamevunja rekodi wanajiamini na kudumu kwa muda mrefu sana europe sio mchezo

    ReplyDelete
  11. kaka makunja mama kimwaga mliyemuimba kakununulieni nguo mpya?

    ReplyDelete
  12. Stuttgart hapo si ndio walijifanya kumletea fujo Diamond ? mbona awawafanyii ffu-ughaibuni,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...