Na Paparazi wa Globu ya jamii Ughaibuni,
Bendi Maarufu ya Muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni usiku wa Jumamosi ya 14 Machi 2015 walifanikiwa kufanya mavitu yao jukwaani na kuliweka jiji la Stuttgart,chini ya himaya na muziki wao,katika onyesho la Africa Unite Party.
pamoja na ulinzi ulioandaliwa lakini kikosi cha Ngoma Africa band kilikuwa "Fit on Fire",sheria za ughaibuni zinawaruhusu kutinga na viwalo ..kila nchi inautaratibu na sheria zake
Kamanda Ras Makunja (pili kushoto) akiongoza mashambulizi.
Nyomi si la kawaida.
Kamanda Mkuu wa Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni,Ibrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Kamunja akiokwa na kikosi kizima.
Chonde ! Chonde wasanii mnaoishi hapa bongo msijaribu kutinga jukwaani na viwalo vya kijeda sheria hapa kwetu tofouti na ughaibuni
ReplyDeleteinabidi nicheke sana na vituko vya vichaa Ngoma Africa band aka watoto mbwa au FFU inaelekea jamaa walikuwa tayari kwa lolote lile! maana ujerumani
ReplyDeleteinawezekana kabisa Neo Nazi kuvamia onyesho
Kamanda ras makunja usituponze wenzio tulio nyumbani kaka
ReplyDeletekweli kwa baba wa kambo hakuna ubaya,machizi mmenunuliwa viwalo vipya
ReplyDeletebaba wa kambo mlezi mwema,mkitoka hapo mnaenda kumuimba na mkutukana
Kamanda mkuu ras makunja mmiliki wa himaya ya viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens hongereni sana,sio kazi rahisi kuwapo ktk gemu kwa miaka 22 katika majukwaa ya ughaibuni,na kuongoza mzimu
ReplyDeletewa muziki Ngoma Africa bila ya kutaka udhamini wenye masharti .mkuu nakupigia saluti.
Mdau
Mabibo,Dar
Kamanda, naona mambo yalikuwa mkubwa sana siku hiyo watu wakichezeshwa ligwaride kwa kupenda wenyewe bila shuruti.
ReplyDeleteKikamanda ketu cha ffu ras makunja,kijamaa kina roho ngumu kila penye utata anapeleka baraha
ReplyDeleteFFU mnaponiacha hoi kuwa mnajiamini sana ,sasa nasikia mlisindikizwa na polisi maalumu na nyinyi wenyewe mmepiga viwalo vya kijeda
ReplyDeleteNgoma Afrika band you guys not nomal
ReplyDeleteso crazy! mnapewa polisi escort halafu na nyinyi mna uniform! Crazy musicians.
any way big up
Dorice Wanjiru.
Stuttgart/Germany
sijawahi kuona wanamuziki vichaa kama ngoma africa hawa jamaa wamevunja rekodi wanajiamini na kudumu kwa muda mrefu sana europe sio mchezo
ReplyDeletekaka makunja mama kimwaga mliyemuimba kakununulieni nguo mpya?
ReplyDeleteStuttgart hapo si ndio walijifanya kumletea fujo Diamond ? mbona awawafanyii ffu-ughaibuni,
ReplyDelete