Wafanyakazi wanawake wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakishiriki matembezi kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani,leo Jumapili Machi 8, 2015, ambapo jijini Dar es Salaam yalifanyika viwanja vya Mnazi Mmoja.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, akipunga mkono kupokea washiriki wa matembezi ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Jumapili Machi 8, 2015.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...