
Ofisa mwakilishi wa Naibu Waziri wa Elimu, Anne Kilango Malecela akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo ya uboreshaji mitaala.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania, Profesa Tolly Mbwette akizungumza katika hafla maalumu ya uzinduzi wa awamu ya nne ya programu hiyo jana Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu hiyo jana jijini Dar es Salaam.


AC ilikuwa imezimwa nini?
ReplyDelete