Mheshimiwa Tim Vandenput Meya wa kitongoji cha Hoeilaart nchini Ubelgiji akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa chama cha NETEVE,wa kwanza kushoto ni Rais wa chama hicho Madame Oliva Butoyi akishuhudia uzinduzi huo.wengineo ni wanachama wanaounda umoja huo,Neteve ni chama kinachojihusisha na mambo ya tamaduni za nchi mbalimbali toka barani Africa.
Wanachama wa Neteve wakipiga makofi kushangilia uzinduzi rasmi wa umoja wao pale Mheshimiwa Tim Vandenput alipokata utepe kukizundua chama hicho rasmi.
Kikundi cha ngoma cha Amahoro kutoka Rwanda kikitumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa chama cha Neteve nchini Ubelgiji. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...