makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli  hii leo


Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro  (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli
 Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi waziri mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha yenye fedha taslimu shilingi milioni mbili laki tano sitini na saba elfu na mia sita zilizochagwa na wananchi   kwa ajili ya kwenda kuchukuwa fomu ya kugombea nafasi ya Urais.
Kwa picha zaidi na habari kamili BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Demokrasia ya wengi na matakwa ya kundi fulani yanailiingiza chama tawala CCM kwenye wakati mgumu wa kuteua mgombea uraisi. Suala la kujiuliza hapa ni jee shinikizo la Mheshimiwa Lowassa kuchukua fomu ya kugombea Uraisi ni nguvu ya wanyonge wenye imani na umahiri wake ama ni mbinu za kundi fulani?

    Mdau UK

    ReplyDelete
  2. Utadhani Lowassa hausiki kabisa katika mpango huu... Siasa si hasa...

    ReplyDelete
  3. Tunahitajika sana kumwomba Mungu ili atupe kiongozi, hata hivyo ni muhimu mtu kutangaza nia ya kile anachokitaka na kuamini kuwa atakipata. Kutangaza nia ya kuwa rais si dhambi mimi ninampongeza sana Mzee Lowasa na kumwombea afanikiwe. Mungu amtangulie kama amemchagua kwa hii nafasi.

    Mtumishi wa Mungu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...