makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli hii leo |
Katibu wa
Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka
Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo
mbele ya mbunge wa jimbo la monduli
Kwa picha zaidi na habari kamili BOFYA HAPA
Demokrasia ya wengi na matakwa ya kundi fulani yanailiingiza chama tawala CCM kwenye wakati mgumu wa kuteua mgombea uraisi. Suala la kujiuliza hapa ni jee shinikizo la Mheshimiwa Lowassa kuchukua fomu ya kugombea Uraisi ni nguvu ya wanyonge wenye imani na umahiri wake ama ni mbinu za kundi fulani?
ReplyDeleteMdau UK
Utadhani Lowassa hausiki kabisa katika mpango huu... Siasa si hasa...
ReplyDeleteTunahitajika sana kumwomba Mungu ili atupe kiongozi, hata hivyo ni muhimu mtu kutangaza nia ya kile anachokitaka na kuamini kuwa atakipata. Kutangaza nia ya kuwa rais si dhambi mimi ninampongeza sana Mzee Lowasa na kumwombea afanikiwe. Mungu amtangulie kama amemchagua kwa hii nafasi.
ReplyDeleteMtumishi wa Mungu