Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Samuel Sitta akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi kabla ya kuanza kwa mkutano na wanahabari,wakati akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani ambayo hufanyika kila ifikapo Machi 23 kila mwaka.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Samuel Sitta akizyngumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani yanayofanyika kila ifikapo Machi 23 ya kila mwaka, yenye kauli mbiu isemayo 'Uelewa wa hali ya hewa kwa maamuzi stahiki'. Pembeni yake ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dkt. Agness Kijazi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...