Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna
Melrose masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania.
Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini Dar es
Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi wa Uingereza nchini,
Dianna Melrose (kulia) akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe, kuhusiana na masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi
yake na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, jijini
Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mathias Chikawe (kulia) akimkaribisha ofisini kwake, Balozi wa Uingereza nchini,
Dianna Melrose, wakati balozi huyo alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake
jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kujadiliana na masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Uingereza na Tanzania. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...