Mwenyekiti na Muasisi
wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo
Tanzania (CKUT),Ramadhani Semtawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada
ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi
ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu
wa Chama hicho,Noel Antapa.
Mwenyekiti na Muasisi
wa Chama cha Kijamaa na Uzalendo
Tanzania (CKUT),Ramadhani Semtawa akizungumza na waandishi wa habari mara baada
ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi
ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu
wa Chama hicho,Noel Antapa.
Mwenyekiti na Muasisi
wa Chama cha kijamaa na uzalendo
Tanzania,Ramadhani Semtawa akiwa ameshika katiba ya chama hicho na Kushoto
ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Noel Antapa akiwa katika viwanja va ofisi
ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.
The mdudu, Mmh njaa mbaya sn......BREAKING NEWS KWA WADAU WOTE WA MJOMBA MICHUZI THE MDUDU.....ACT. ..WAZALENDO FROM 15th of April mimi ntakomaa na azimio la Arusha...tutarudisha ardhi yetu from mabebelu...nyumba zetu zote za NHC...Utu wetu uliopotea....Wageni mamruki watasakwa masaa 24 mchana na usiku.....Kazi kwa WAZALENDO kwanza wageni baadae....DAR itaitwa Dodoma na Dodoma itaitwa Dar.
ReplyDeleteTatizo lako mdudu mtandao umeanza kutumia ukubwani au baada ya kuletwa na boksi ulaya halafu wewe ardhi na nyumba za NHC hazikuhusu si ulisema hutaki kurudi bongo
DeleteMwee! hivi vyama vya msimu mwaka huu mbona ni shida?? yaani vinaibuka vingiiiiiiiii arafu ikifikia wakati wa kufa vinakufa pole pole kama vimekula ndimu ya Tanga.. aaaah haya bana kaka Semtawa kaza buti tupo wa kukupa tafu
ReplyDeleteWewe kweli kichwani hakuna kitu. Mtoa comment hapo juu. Sasa nini maana ya democrasia? Hujui kama huyo aliye anzisha chama hata kama ana njaa lakini ana jaribu kukuwekea wewe bwege maisha bora? Huoni michuzi kuwa na blog siyo njaa bali wewe uweze kuona kinachoendelea ndani na nje ya nchi. Weka madudu yako tuone kama watu hawata sema una njaa!
ReplyDelete