Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho,Noel  Antapa.
 Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  Kijamaa na Uzalendo Tanzania (CKUT),Ramadhani  Semtawa  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupata usajili wa muda wa chama hicho uliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni katibu Mkuu wa Chama hicho,Noel  Antapa.
Mwenyekiti  na Muasisi wa Chama cha  kijamaa na uzalendo Tanzania,Ramadhani  Semtawa  akiwa ameshika katiba ya chama hicho  na Kushoto  ni Katibu Mkuu wa Chama hicho Noel Antapa akiwa katika viwanja va ofisi ya msajili wa vyama vya siasa leo jijini Dar es Salaam.PICHA NA EMMANUEL MASSAKA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. The mdudu, Mmh njaa mbaya sn......BREAKING NEWS KWA WADAU WOTE WA MJOMBA MICHUZI THE MDUDU.....ACT. ..WAZALENDO FROM 15th of April mimi ntakomaa na azimio la Arusha...tutarudisha ardhi yetu from mabebelu...nyumba zetu zote za NHC...Utu wetu uliopotea....Wageni mamruki watasakwa masaa 24 mchana na usiku.....Kazi kwa WAZALENDO kwanza wageni baadae....DAR itaitwa Dodoma na Dodoma itaitwa Dar.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo lako mdudu mtandao umeanza kutumia ukubwani au baada ya kuletwa na boksi ulaya halafu wewe ardhi na nyumba za NHC hazikuhusu si ulisema hutaki kurudi bongo

      Delete
  2. Mwee! hivi vyama vya msimu mwaka huu mbona ni shida?? yaani vinaibuka vingiiiiiiiii arafu ikifikia wakati wa kufa vinakufa pole pole kama vimekula ndimu ya Tanga.. aaaah haya bana kaka Semtawa kaza buti tupo wa kukupa tafu

    ReplyDelete
  3. Wewe kweli kichwani hakuna kitu. Mtoa comment hapo juu. Sasa nini maana ya democrasia? Hujui kama huyo aliye anzisha chama hata kama ana njaa lakini ana jaribu kukuwekea wewe bwege maisha bora? Huoni michuzi kuwa na blog siyo njaa bali wewe uweze kuona kinachoendelea ndani na nje ya nchi. Weka madudu yako tuone kama watu hawata sema una njaa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...