Muda mfupi uliopita, kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa wamejeruhiwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Serikali ajali hizi zinasababishwa na miundo mbinu finyu ya barabara. Barabara za Tanzania ni ndogo mno mno jamani, ni finyu, narrow sio za kupishana magari mawili barabara zetu. Wenzetu huku nje wanajenga barabara pana sana hata kama ni za kupishana magari mawili lakini ni pana kiasi kwamba magari hayawezi kupalamiwa. Sijui hili litakuwaje, maana ni nchi yote barabara ni ndogo mno. Na kila zikijengwa mpya bado zinajengwa vilevila. Wazungu wanaotujengea wanatuua maana kwao wanajenga bara2 pana kwetu wanajenga nyembamba ili tufe tupungue. Jamani inasikitisha imekuwa kama ugali wa kila siku, tuoneeni huruma wahusika kwani waathirika ni sisi watumia barabara hatuna uwezo wa kutumia ndege kama wenzetu mnavyotumia. Serikari tunaomba muwe na huruma kwa watu wenu munaowaongoza, tunakwisha jamani sikieni kilio chetu. Kutembea kwa miguu hatuwezi lazima tupande magari na magari yenyewe ndo kila siku mieleka tufanye nini? serikali munatusaidiaje kwa hilo? inauma sana sana.

    ReplyDelete
  2. Hee! jamani eeee! na hizi ajali zimetoshaaaaaaaaaaaa!!!!

    ReplyDelete
  3. Yes kama kawaida muvi za mabasi zinaendelea mimi hunipandishi haya mabasi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...