Wanachama  ACT  wazalendo la  wananchi  wa   jimbo la  Morogoro  mjini wakiwa katika mkutano  wa ACT wazalendo leo




viongozi  wa  kitaifa  wa ACT  wazalendo  wakiimba  wimbo wa  Taifa  kabla ya  kuanza  mkutano  wa  hadhara  jimbo la  Morogoro  mjini  leo
Wanachama  wa  ACT  wazalendo  wakiimba  wimbo wa  Taifa  leo.
Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hii tabia ya kuweka mkono kifuani wakati wa wimbo wa taifa imeanza lini? Wimbo wa taifa tangu tunaimba shule na msingi inatakiwa usimame kikakamavu mikono yote chini ukiwa mguu sawa.

    Naomba tuache kuiga na twende na utamaduni wetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...