Balozi Seif akiwaahidi Wafanyakazi wa shamba la Mipira Kichwele hatua
zitakazochukuliwa na Serikali juu ya matatizo yao likiwemo la kulipwa haki zao.Picha na –
OPMR – ZNZ.
Mmoja wa Wafanyakazi wa shamba la Mipira Kichwele akiwasilisha
malalamiko yao mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
hayupo pichani wakidai kutolipwa mishahara yao kati ya miezi mitatu hadi
Minane.
Mwakilishi wa Kampuni ya Agro Tec ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Bidi
ya Uongozi wa Kampuni hiyop Bwana Soud Moh’d Achili akitoa ufafanuzi mbele ya
Balozi Seif kuhusu shutuma zilizotolewa
na Wafanykazi wa shamba la Mipira Kichwele dhidi ya Kampuni yake.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shama la Mipira Kichwele wakifuatilia mkutano
wakati wakiwasilisha malalamiko yao kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif dhidi ya muwekezaji wa mradi huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...