Wanachama ACT wazalendo la wananchi wa jimbo la Morogoro mjini wakiwa katika mkutano wa ACT wazalendo leo |
viongozi wa kitaifa wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza mkutano wa hadhara jimbo la Morogoro mjini leo
Wanachama wa ACT wazalendo wakiimba wimbo wa Taifa leo. Picha zaidi BOFYA HAPA |
Hii tabia ya kuweka mkono kifuani wakati wa wimbo wa taifa imeanza lini? Wimbo wa taifa tangu tunaimba shule na msingi inatakiwa usimame kikakamavu mikono yote chini ukiwa mguu sawa.
ReplyDeleteNaomba tuache kuiga na twende na utamaduni wetu.