Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akioneshwa chakula
kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya
ziara kituoni hapo kukagua akiba ya chakula.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akikagua akiba ya chakula
kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya
ziara kituoni hapo eneo la kizota.
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (kushoto) akifanya ziara ya ukaguzi kwenye
kituo cha hifadhi ya chakula NFRA kanda ya kati mapema leo alipotembelea
kituoni hapo eneo la kizota kujionea kiasi cha akiba ya chakula iliyopo, kulia
ni meneja wa NFRA Kanda ya Kati Deusdedit Mpazi.
Sehemu ya chakula cha akiba kilichohifadhiwa
kwenye kituo cha hifadhi ya chakula NFRA kanda ya kati, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma
Chiku Gallawa amemuagiza Meneja wa NFRA Kanda ya Kati kufanya taratibu
zinazohitajika ili kuingiza chakula hiko kwenye masoko kusaidia kupunguza bei
ya chakula sokoni ili wananchi
wanufaike.
Nanihii amekula chakula chote ghalani.
ReplyDeleteKha! wee anony wa kwanza ushindwe..Lol!
ReplyDelete