Bonn,
Asubuhi na mapema tu Radio Deutch Welle Idhaa ya Kiswahili inayorusha matangazo yake mjini
Bonn,Ujerumani, ilimwamkia mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja kiongozi wa bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni.
katika mahojiano
na mtangazaji mahiri Bi. Swaumu Mwasimba wa radio DW na kipindi cha muziki na utamaduni, Kamanda Ras Makunja amezungumzia mafanikio na changamoto za muziki wa kiafrika barani ulaya.pia amezungumizia jinsi muziki wa kiswahili unavyokubalika barani ulaya.usikose kusikiliza mahojiano hayo katika tuvoti za radio DW-Kiswahili
http://www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/habari-za-ulimwengu/s-11590
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...