Balozi wa Tanzania Nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima
na Mrs Mkola Mlima pamoja na Wafanyakazi wa Ubalozi wakiwapokea wageni
katika kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.
Sherehe hiyo iliyofanyika katika Hotel ya InterContinental
Iliyopo Kuala Lumpur ilihudhuriwa na wageni 300 wakiwepo Mabalozi,
wawakilishi na viongozi mbali mbali kutoka sekta binafsi na fedha
waliopo hapa Kuala Lumpur na baadhi ya wanafunzi na watanzania walioweza
kushiriki.
Serikali ya Malaysia iliwakilishwa na mgeni rasmi ambaye ni
Naibu Waziri wa Biashara ya Kimataifa na Viwanda Mheshimiwa Seneta
Dato' Lee Chee Leong".
picha nzuri bila maelezo zinakuwa hazina......
ReplyDelete