Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kampeni ya usafi wa mazingira Omary Kombe akizungumza na Baadhi ya waandi wa habari hawapo pichani leo katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO Jiji Dar es Salaam,juu ya kuhamasisha kufanya usafi wa mazingira kila jumamosi ya mwisho wa mwezi, kushoto ni Rais wa serikali ya wanafunzi  Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere,Komanya Eliasi kulia ni Kapeni Meneja,Braiton Blige.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya kampeni ya usafi wa mazingira Omary Kombe akipokea ufagio kutoka kwa,Mwenyekiti kwa pamoja tunaweza,Ever Pius, kwaajiri ya kuhamasisha usafi wa mazingira hapa nchini.
 Baadhi ya waandishi wa habari walio hudhuria katika mkutano wa kuhamasisha kufanya usafi wa mazingira kila jumamosi ya mwisho wa mwezi  katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO Jiji Dar es Salaam leo. PICHA NA EMMANUEL MASSAKA,GLOBU YA JAMII.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...