Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2015

    Ndugu yangu haya ni maoni mazuri hasa kwa kuwa yanawakilisha wananchi. Maoni yangu ni kuwa haipaswi kuitwa makala kwa kuwa makala ni zaidi ya habari, ni habari kwa kina na hivyo haiwezi kuwa n asauti moja tu ikaitwa makal. Nadhanui unaweza kuiita maoni yangu au onavyo mimi. Makala ingekuwa na sauti za wananchi, wachambuzi au wasomi n ahata wanasiasa ( viongozi). Pia ina focus. Yaani huwezi kuwa na mad zaidi ya moja katika makala moja hapa umezungumzia mambo mengi sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2015

    Hongera kwa uthubutu ni wakati mwafaka kukumbushana kwakua tunaelekea ktk uchaguzi, wasiwasi wangu ni kwamba watawala wanaweza kukuonesha kidole kwa hofu ya kuwarushia ndege wao...Maana wengi wao wanatumia falsafa za aliyelala usimuamshe ili kupata nafasi za uongozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...