Home
Unlabelled
Makala za Sauti: Majadiliano kuhusu uchaguzi mkuu na hatma ya Tanzania yetu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu yangu haya ni maoni mazuri hasa kwa kuwa yanawakilisha wananchi. Maoni yangu ni kuwa haipaswi kuitwa makala kwa kuwa makala ni zaidi ya habari, ni habari kwa kina na hivyo haiwezi kuwa n asauti moja tu ikaitwa makal. Nadhanui unaweza kuiita maoni yangu au onavyo mimi. Makala ingekuwa na sauti za wananchi, wachambuzi au wasomi n ahata wanasiasa ( viongozi). Pia ina focus. Yaani huwezi kuwa na mad zaidi ya moja katika makala moja hapa umezungumzia mambo mengi sana.
ReplyDeleteHongera kwa uthubutu ni wakati mwafaka kukumbushana kwakua tunaelekea ktk uchaguzi, wasiwasi wangu ni kwamba watawala wanaweza kukuonesha kidole kwa hofu ya kuwarushia ndege wao...Maana wengi wao wanatumia falsafa za aliyelala usimuamshe ili kupata nafasi za uongozi.
ReplyDelete