Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii Tanzania, Rosada Msoma akizungumza na wanafunzi na wakufunzi wa chuo cha Utalii(hawapo pichani) katika maonyesho ya utalii yaliyofanyika katika chuo hicho kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam.

Mpishi Issa Haji akitoa maelekezo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Cha Utalii Tanzania, Rosada Msoma katika jiko la wanafunzi wanaojifunza kupika vyakula mbalimbali katika Chuo cha Utalii Tanzania Kampasi ya Bustani jijini Dar es Salaam.
Mpishi Issa Haji akitoa maelekezo Kwa wanafunzi wa Chuo cha Utalii cha Wanyamapori kampasi ya Temeke katika maonyesho ya chuo hicho yaliyofanyika katika kampasi ya Bustani leo jijini Dar es Salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...