Mhe. Spika Pandu Ameir Kificho (wanne kutoka kulia) akiongoza Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Wanaotembelea Bunge la Ulaya. Wajumbe wengine wa Baraza la Wawakilishi wanaoshiriki ziara hiyo ya mafunzo ni Mhe. Shamsi Vuai Nahodha, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mhe.abdalla Juma Abdalla, Mhe. Hamad Masoud Hamad na Mhe. Zahra Ali Hamad. Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala P ameungana na Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kushiriki ziara hiyo ya siku tatu. Bunge la Ulaya lina Wabunge 751 wanaochaguliwa kutoka nchi Wanachama 28 wa Jumuiya ya Ulaya.
Home
Unlabelled
MHE. SPIKA PANDU AMEIR KIFICHO AONGOZA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI KUTEMBELEA BUNGE LA ULAYA, BRUSSELS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Waheshimiwa muende mkatembee kujifunza ili mboreshe taasisi za huku kwetu pia.
ReplyDelete