
Baadhi ya watalii wa ndani wakiwa eneo la
kambi ya Tembo wakisubiri magari madogo ya hifadhi ya taifa ya mlima
Kilimanjaro (KINAPA) kwa ajili ya kuwachukua kuwapeleka katika hifadhi
hiyo. 

Magari yaliyokuwa yakitumiwa na watalii wa
ndani waliokuwa wakipanda kwenda kilele cha Shira yakiwa yameegeshwa
baada ya kushindwa kuendelea na safari kutokana na ubovu wa barabara.
Watalii wa ndani walilazimika kupanda magari ya aina hii ili kufika katika kilele cha Shira.
Safari ya kuelekea kilele cha Shira ikianza.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI


BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...