Meneja
biashara CRDB tawi la Arusha, Rose
Mkumbwa (kulia) pamoja na wafanyakzi wengine wa Benki hiyo wakiwapa
zawadi watoto ambao ni wateja wa benki
hiyo kupityia akaunti ya wateja wa account ya Junior Jumbo wakati wa
maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika mjini Arusha jana.
Mkurugenzi wa CRDB tawi la Arusha Chiku Issa wa pili kutoka kulia (Alie beba mtoto) na Meneja biashara tawi la Arusha Rose Mkumbwa (kulia) wakiwa na wateja wa account ya Junior Jumbo, wakati wa maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika
Meneja
biashara CRDB tawi la Arusha, Rose
Mkumbwa akizungumza na mtoto Collins
Godwin
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...