Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB wa tawi la Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akimlisha keki mtoto katika hafla ya kuadhimisha Siku ya Mtoto wa
Afrika iliyofanyika katika Benki hiyo Tawi la Lumumba,Naibu Mkurugenzi
huyo aliitaka jamii kuwawekea watoto akiba kwenye akaunti ya Junior Jumbo akaunti ambayo itawasaidia watoto baadae
katika kutimiza malengo yao.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Tawi la
Lumumba, Saugata Bandyopadhiyay akilishwa keki na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB,Tawi lhilo,Pendo Assei katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika katika Benki hiyo Tawi la Lumumba jana jijini Dar es Salaam.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,Saugata Bandyopadhiyay akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi
wa Benki ya CRDB Tawi la Lumumba,na watoto waliohudhuria hafla ya
maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika, ilifanyika Tawini hapo na
iliyowahamasisha wazazi kuwawekea akiba watoto wao pesa ili kuwasidia kwa
siku za baadae kwenye akaunti ya JJ katika benki hiyo.
Sehemu ya watoto waliohudhuria Siku hiyo ya Mtoto wa Afrika wakicheza katika Benki ya CRDB tawi la Lumumba jijini Dar es Salaam jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...