NYIMBO ZA KUMUAGA RAIS JAKAYA KIKWETE HEWANI !
SI WENGINE NI NGOMA AFRICA BAND AKA FFU -Ughaibuni
yenye maskani kule ujerumani
Mtunzi:Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja
Waimbaji: Kamanda Ras Makunja
Afande Chris-B ambaye pia ni mpiga solo gitaa
Bendi:
Ngoma Africa band aka FFU
wasiliana nao at ngoma4U@gmail.com
Kwanza hongereni sana ngoma africa band muziki huu umetulia na inaonekana nyinyi sio wezi wa fadhira sasa hapa bongo wanamuziki wote wamekuwa mdomo wazi
ReplyDeletewakisubiri mshiko wa wanaotangaza nia ya kugombea Urais 2015,lakini nyinyi mnahakikisha kwanza mnamaliza kazi na JK! kweli nyini ni wapiganaji msioyumba
Burudani kubwa sana. Ni vizuri kutoa shukrani hasa kwa kuendeleza amani iliyokuwepo na kutuletea maendeleo ya miundo mbinu. "myonge myongeni lakini haki yake mpeni."
ReplyDeletehawa vichaa wanatisha sana duh! inaelekea wana timing sio ya kikawaida,kwa muziki wao sio wa kitoto ni muziki mkubwa mno,wametulia na inaonekana wanakijua wanacho kifanya
ReplyDeleteSasa kazi naona kamanda Ras Makunja baada ya kupatikana kwa bundi wake aliyepotea sasa tunapata burudani, Kamanda mkuu huyu Ras Makunja na vijana wake anatisha sana tena anaonekana ni mzoefu kwa kurusha mistari inayogusa
ReplyDeletemioyo ya walio wengi
Mistari ya ujumbe huu inanitoa machozi kwa kuona kuwa baadhi yetu watanzania tumekuwa watu wenye kusahau leo hii wasanii
ReplyDeletewametekwa na kusubiri posho za vigogo wajao,lakini hapa naona hawa jamaa tena wapo mbali na nyumbani kwanza wanatoa shukurani kwa Kiongozi wetu ! Leo hii hapa nyumbani wapo wanamuziki wengi lakini wamesahau waliofanyiwa na JK
Ankali Muhidin ,asante sana kwa huu muziki umeuibua wapi? ujumbe mzito sana wengi tumeguswa na maneno ya waimbaji wamemshukuru mpaka mama 1st lady kwa uvumilivu,wamewashukuru wazaa chema wazee wa msoga kwa malezi bora na kumsomesha JK,wanasema La Mgambo limelia JK anamaliza kazi wakati taifa bado lina muhitaji ,wimbo huu unanitingisha hisia na machozi
ReplyDeleteHuyu mtunzi sio kiumbe au binadamu wa kawaida mistari yake ukisiliza ina choma na kupuliza anasema "nyinyi mlio mbali na mlio karibu njooni muone nchi JK kafanya mengi" yaani anawafumbua macho wanaojifanya vipofu !
ReplyDeleteMichuzi unajua hawa jamaa sio wanamuziki wa kawaida kuna kipande kimesikika
ReplyDeletekwa mistari "Mnyonge Mnyongeni haki yake Mpeni" mtunzi ni mswahili kweli
anawachana Live wasio na shukurani,mtunzi anasimama kwa kulinda yote yaliofanywa na JK,kuwa watanzania tunabudi ya kutoa asante sio kukimbilia posho za watangaza nia
Yes nakubali anko mtandao wako sio mdogo umewafungulia watoto wa mbwa sasa wanabwaka kweli umeshalileta baraa unawasikia mdundo wao machizi hawa ni tofouti sana na muziki wa kitoto wa katika computer,yaani waimbaji wapo katika key wametulia na ukiwa mwimbaji mtoto upenyi hata kidogo hapo-Asante sana kwa kuleta vitu adimu
ReplyDeleteMguu upande Mguu Sawa Kamanda ras makunja anaongoza gwalide la ffu,imebidi nisikilize na kucheka tu,maana machizi wa muziki ngoma africa hizi ndizo zao
ReplyDeletenimeona wanamuziki wenzao wapo Dodoma wakionyesha nini walichokifuata kule
huku kumbe Kamanda wa ffu anatangaza La Mgambo na kuvipa kazi vituo vya redio
Kweli kazi hipo huu wimbo niliusikia ghafla katika kituo cha Zenj FM leo jioni kama x2 hivi ukichezwa na kutufanya wasikilizaji wa hapa Unguja katika maeneo ya darajani kusimama kama vile tumenaswa na umeme ,sio ngoma ya kitoto
ReplyDeletekama ni tuzo basi wanamuziki hawa ndio wa kupewa,si amini masikio na macho yangu kuwa wanamuziki wapo mbali sana na nyumbani na wakatoa kitu kizito kama hii ngoma respect
ReplyDeleteaaaaaahaaahah nina wasiwasi na hizo comment zote hapo juu!! ni shiiiiiiiiidah
ReplyDeletedu jamani mimi sina chama nipo canada nimerudi tanzania nimeona sio ile niliyoiacha kikwete kafanya kazi tuache unafiki kama binadamu anamapungufu yake ila kafanya kazi huyu dude.waliomharibia ni watu aliyokuwa akiwateua akizani watafanya kazi kumbe niwadaka tonge,
ReplyDeletesasa hawa akina ras ndio wanamuziki du wamenikuna hawa dude mmh,
vielen dank
jk jembe tutake tusitake nchi imebadilika jamani
ReplyDelete