Home
Unlabelled
January Makamba kuzungumza na Watanzania jumapili hii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WOW, BADO WANAKUJA? I DON'T BELIEVE THIS, MPAKA WAFIKE MIA, HAHAHAHAHA
ReplyDeleteWacha waje wale niliowasikiliza wanatoa hoja zinazoeleweka hii tu inatia moyo. Kuna ukuaji wa demokrasia na uelewa wa nchi yetu na mahali inapotakiwa kwenda. Sasa hivi tuna viongozi watarajiwa wanaoelewa vizuri nchi hii na mahitaji yake kuliko wakati mwingine wowote. Karibu wenye nia tueleze maono na uwezo wenu wa kuongoza tutachukua mmoja kati ya wengi wenye uwezo.
ReplyDeleteMungu ibariki nchi yetu, wapatie hekima watakaochuja watanzania hawa walojitolea kutuongoza, tupate kiongozi bora mwenye uadilifu utupitishe kwenye mabadiliko ya awamu moja hadi nyingine kwa amani na umoja.