Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2015

    sasa naona ffu wameingia mtaani namsikia kamanda mkuu wa ras makunja akiongoza
    gwaride kwa mwendo wa kasi hapo ni mbele kwa mbele

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2015

    ankal misupu ,wajamaa hawa kama hawana akili nzuri ! dakika chache tu wamemaliza kila kitu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2015

    FFU naona mmekaza buti kisawa sawa mnapiga kwata kuelekea Msoga,mnasema mmpishwe njia mnaenda msoga na shujaa wenu JK ,kweli nawakubali

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2015

    FFU mipini utafikilia milio ya risasi? safi sana hii kazi nzuri mmeifanya
    napiga virungu na masaji hapo hapo kwa anayesikia maumivu,kuna ya mistari mnasema enyi mlio nje msione baridi mje.. J.K kajenga nchi.. kafanaya mambo moto ,makamanda hapo naona ni virungu kweli maana huko ughaibuni mliko baridi
    njooni bongo muone nchi ,maafande wa ffu nawakubali Big Up

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2015

    Kolokoloni namba 1 ffu nawasikieni mkitingisha anga sasa hakuna kulala mtu na daruga na parade mbele kwa mbele tu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2015

    kazi wanaifanya vichaa hawa ilikuwa wafanye TOT na Vijana jazz

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2015

    Wazee wa Ngwasuma makombora ya machozi kutoka ffu umeyasikia hayo? jibuni basi

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 11, 2015

    Vicha wameingia sokoni sasa na virungu mkononi hakuna atakayebaki naona wanaelekea msoga

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 11, 2015

    Nasikia solo gitaa la mchenzi afande Chris-B bila ya mlio wa mtutu huo kamanda ras makunja akubali kurekodi,jamaa wanajituma kazi safi sana

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 11, 2015

    teh! teh! anko michuzi umefungulia watoto wa mbwa sasa wanabwaka hawa machizi wa muziki ukiwapigia miruzi tu ! wanakubwakia mara wamekung'ata sio unaona dakika chachetu furugu mechi ffu wametuliza fujo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 11, 2015

    Kamanda mkuu wa ffu kaingia mtaani sasa ni virugu tu hakuna tena msalie mtume hapo

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 11, 2015

    Mungu wangu , baada ya kupatikana kwa Bundi wake mkuu wa himaya ya viumbe wa ajabu kamanda ras mti mkavu yupo katika kiwanja anaongoza kupiga kwata?

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 11, 2015

    ndio tunazikubali sana juhudi za rais wetu jk ,lakini hiki kikosi cha ngoma africa band inaonekana wakati wote kipo tayari tayari kumtetea hapa kidogo pana nivunja mbavu na kuniacha hoi,rais yupo ulaya? ziara ya kikazi huku nyumbani vigogo wanatangaza nia na wanamuziki nao wapo ktk fuleni ya kupewa soda,wakati huu huu Jk uko aliko bado ajarudi na hawa ngoma afrika nao wameshaanza fujo za kuziba watu midomo sasa hapa watu wote tunayumbishwa na huu mdundo! hapa kidogo sielewi?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 11, 2015

    Virungu gongana kazi kwishney vibaka wote chini ya ulinzi wa ffu kweli kuzaliwa mjini shule shamaba kilimo- kamanda kazi nzuri sana

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 11, 2015

    huku bongo wanamuziki kweli njaa inawasumbua JK kawapa kila kitu wakati huu ilikuwa ndio wampe shukurani lakini wao wamekuwa kama wauza baa meza yenye chupa nyingi ndio wanapoketi

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 11, 2015

    hiki kikosi kweli ni walinzi wasio teteleka ! ni bendi yenye msimamo mkali wapo imara kama bendera ya chuma mlingoti chuma upepo wote huu wa vigogo kuwavuta wasanii wao bado wamekula kiapo cha JK mpaga msoga wataenda nae! tena kwa mwendo wa kunema nema huyu mtunzi sio kiumbe wa kawaida

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 11, 2015

    Kweli bongo kama ulaya barabara zinapitika,shule tele tele na vyakula bwelele
    namsikia kamanda aliyeipindia akili kazi yake ram makunja mkuu wa kikosi kazi ffu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...