Home
Unlabelled
INTRODUCING "JK TUNATAMBA NAYE" BY NGOMA AFRICA BAND
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa naona ffu wameingia mtaani namsikia kamanda mkuu wa ras makunja akiongoza
ReplyDeletegwaride kwa mwendo wa kasi hapo ni mbele kwa mbele
ankal misupu ,wajamaa hawa kama hawana akili nzuri ! dakika chache tu wamemaliza kila kitu
ReplyDeleteFFU naona mmekaza buti kisawa sawa mnapiga kwata kuelekea Msoga,mnasema mmpishwe njia mnaenda msoga na shujaa wenu JK ,kweli nawakubali
ReplyDeleteFFU mipini utafikilia milio ya risasi? safi sana hii kazi nzuri mmeifanya
ReplyDeletenapiga virungu na masaji hapo hapo kwa anayesikia maumivu,kuna ya mistari mnasema enyi mlio nje msione baridi mje.. J.K kajenga nchi.. kafanaya mambo moto ,makamanda hapo naona ni virungu kweli maana huko ughaibuni mliko baridi
njooni bongo muone nchi ,maafande wa ffu nawakubali Big Up
Kolokoloni namba 1 ffu nawasikieni mkitingisha anga sasa hakuna kulala mtu na daruga na parade mbele kwa mbele tu
ReplyDeletekazi wanaifanya vichaa hawa ilikuwa wafanye TOT na Vijana jazz
ReplyDeleteWazee wa Ngwasuma makombora ya machozi kutoka ffu umeyasikia hayo? jibuni basi
ReplyDeleteVicha wameingia sokoni sasa na virungu mkononi hakuna atakayebaki naona wanaelekea msoga
ReplyDeleteNasikia solo gitaa la mchenzi afande Chris-B bila ya mlio wa mtutu huo kamanda ras makunja akubali kurekodi,jamaa wanajituma kazi safi sana
ReplyDeleteteh! teh! anko michuzi umefungulia watoto wa mbwa sasa wanabwaka hawa machizi wa muziki ukiwapigia miruzi tu ! wanakubwakia mara wamekung'ata sio unaona dakika chachetu furugu mechi ffu wametuliza fujo
ReplyDeleteKamanda mkuu wa ffu kaingia mtaani sasa ni virugu tu hakuna tena msalie mtume hapo
ReplyDeleteMungu wangu , baada ya kupatikana kwa Bundi wake mkuu wa himaya ya viumbe wa ajabu kamanda ras mti mkavu yupo katika kiwanja anaongoza kupiga kwata?
ReplyDeletendio tunazikubali sana juhudi za rais wetu jk ,lakini hiki kikosi cha ngoma africa band inaonekana wakati wote kipo tayari tayari kumtetea hapa kidogo pana nivunja mbavu na kuniacha hoi,rais yupo ulaya? ziara ya kikazi huku nyumbani vigogo wanatangaza nia na wanamuziki nao wapo ktk fuleni ya kupewa soda,wakati huu huu Jk uko aliko bado ajarudi na hawa ngoma afrika nao wameshaanza fujo za kuziba watu midomo sasa hapa watu wote tunayumbishwa na huu mdundo! hapa kidogo sielewi?
ReplyDeleteVirungu gongana kazi kwishney vibaka wote chini ya ulinzi wa ffu kweli kuzaliwa mjini shule shamaba kilimo- kamanda kazi nzuri sana
ReplyDeletehuku bongo wanamuziki kweli njaa inawasumbua JK kawapa kila kitu wakati huu ilikuwa ndio wampe shukurani lakini wao wamekuwa kama wauza baa meza yenye chupa nyingi ndio wanapoketi
ReplyDeletehiki kikosi kweli ni walinzi wasio teteleka ! ni bendi yenye msimamo mkali wapo imara kama bendera ya chuma mlingoti chuma upepo wote huu wa vigogo kuwavuta wasanii wao bado wamekula kiapo cha JK mpaga msoga wataenda nae! tena kwa mwendo wa kunema nema huyu mtunzi sio kiumbe wa kawaida
ReplyDeleteKweli bongo kama ulaya barabara zinapitika,shule tele tele na vyakula bwelele
ReplyDeletenamsikia kamanda aliyeipindia akili kazi yake ram makunja mkuu wa kikosi kazi ffu