Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa
Mhina akichukua mbolea kwa ajili ya kupanda miti katika Zahanati Mbopo baada ya mazoezi ya vijanawa Mbopo nje kidogo
ya jiji la Dar es Salaam. 
Kamanda Mstaafu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha
Mapinduzi Wilaya Kinondoni (UVCCM),Jumaa
Mhina akishiriki katika usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbopo iliyopo
nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...