Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka (mwenye flana ya mistari), akisalimiana na Watumishi wa Wizara ya Uchukuzi na taasisi zake jana katika banda la Wizara ya Uchukuzi katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani Tanga. Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka akimsikiliza Afisa Mazingira kutoka Wizara ya Uchukuzi, Yusuph Abdulkadir Muya wakati akimueleza matumizi ya kifaa cha kupimia mvua jana katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira yanayofanyika Mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,
Dkt Shaaban Mwinjaka(mwenye flana ya mistari), akiangalia asali katika banda la
Halmashauri ya Wilaya ya Handeni wakati alipotembelea banda la Wizara hiyo na
mabanda mbalimbali jana katika katika maonyesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani
Tanga. Maonyesho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Tanga.
(Picha
na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...