Hali
hapa itakuwa ngumu katikati ya barabara na ni eneo la mistari ya
pundamilia nani avuke na asivuke naona sasa wote wameona wavuke.
Wazee wa kuchagua chagua wakiwa katika harakati za kupata kilicho boraaaa zaidi na ni saizi yake.
Magari
yakiwa katika hospitali yake na madaktari wakiwa katika shughuri ya
kuyaweka sawa ili yaweze jongea kama mengine.(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA
GLOBU YA JAMII.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...