Home
Unlabelled
WATOTO WAKICHEZA SEHEMU HATARISHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Km wewe ulilelewa ushuani utaona hii sehemu hatalishi ila sisi wa uswazi mbona kawaida tu halafu mbona sehemu iko poa hiyo
ReplyDeletehahahaha ivi kwa bongo hiyo wapi si hatarishi?????bongo nzima ni hatarishi ........hapa nazungumzia taarifa za takwimu za hapo hapo ndani.
ReplyDeletenaunga mkono anon hapo juu 27 June 2015. Hii ni kawaida tu. tena usione hawa wana sehemu nzuri ya kucheza, kuna sehemu zingine za kutisha lakini huwa inakuwa ni fundisho kwa watoto watakapokuja kuwa wakubwa watajitahidi kutafuta maisha mazuri zaidi.
ReplyDelete