Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Bw. Keneth Kaseke, Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya, kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani Ijumaa. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Suleiman Rashid na wa Pili Kulia ni Dkt Bwijo Bwijo wa UNDP.
Rais Kikwete na meza ku wakipokea Maandamano kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Maandamano kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Mary Kibwana na Christa Komba Walimu wakongwe  na magwiji wa sanaa za maonesho wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) wakiongoza kikundi cha maigizo tumbuiza Wananchi waliohudhuria kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani.
Hassan  Salum, Msanii mahiri ambaye ni  mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) akiigiza kama 'Teja' 
Wanafunzi wa mwaka wa tatu katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) wakiigiza  mbele ya Wananchi waliohudhuria kwenye maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani mjini Bagamoyo mkoa wa Pwani.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...