Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kushoto) akipata maelezo wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa mwanafunzi Asma Abdalla Khamis darasa la kumi na mbili Ndijani kuhusu utengenezaji wa Mafuta ya mgando ambayo utengenezaji wake unatokana na Nta,mafuta ya Nazi na Mawardi wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dkt.Idriss Ahmada Hija.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Chara Stivin Bakari ambao hutoa misaada mbali mbali kwa Watu wenye ulemavu wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya miaka 90 ya Skuli ya Ndijani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Sheini leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...