Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki katika ibada ya kwanza ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya kwanza katika kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na wanakwaya baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Huruma ya mjini Dodoma baada ya kushiriki katika ibada ya kwanza kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjni Dodoma Juni 14, 2015.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...