Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akihutubia Wananchi wa Kijiji cha kisesa Wilaya ya Magu,katika sherehe za Kimila ya wasukuma zilizofanyika Mkowani Mwanza jana tarehe 7/6/2015.
Makamu wa Raiswa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akipiga Ngoma ishara ya Kuzindua Sherehe za kimila za kabila la wasukuma zilizofanyika kwenye kijiji cha kisesaWilayani Magu Mkoa wa Mwanza jana.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mwenyekiti wa Machifu wa Kisukuma Charles llago Kaphipa wakati wa sherehe za Kimila za wasukuma kwenye Tamasha la bulabo katika kituo cha bujoro Mkoani Mwanza Jana Tarehe 7/6/2015.
Kumbe wasukuma wana asili ya kiarabu? Naona mkubwa wa machifu kavaa jokho la kiarabu
ReplyDeleteKwa nini usiseme vazi la kiaarabu lina asili ya kisukuma wewe mdau hapo juu? Siku zote ni kujiweka nyuma tu!!
ReplyDeleteLakini sio mbaya
ReplyDelete