viti vikiwa tupu baada ya kuahirishwa kwa mdahalo huo.
 Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali (kulia), akizungumza na wadau mbalimbali waliofika kwa lengo la kuwasikiliza wagombea hao ambao hawakufika.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amina Salum Ali, akitoka ukumbini katika Hoteli ya Hyatt Recency Kilimanjaro baada ya kuahirishwa kwa Mdahalo wa waliotangaza nia ya kugombea urais kupitia chama hicho kushindwa kuhudhuria Dar es Salaam juzi. Wagombea hao walioshindwa kuhudhuria mdahalo huo ni Mwigulu Nchemba, Samuel Sitta, January Makamba, Lazaro Nyalandu  na Frederick Sumaye.

BOFYA HAPA KUSOMA MKASA MZIMA 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2015

    Hivi ilikuwaje mpaka wengine hawakufika? Tungoje mdahalo ule utakaokuwa na mgombea wa CCM na wale wa upinzani, ili watueleze hiyo mipango kukukiyakuendeleza nchi wataitimiza timiza vipi? pesa watazitoa wapi, katika kodi zipi? Katika siku mia moja moja ya utawala wao tutarajie nini? je katika siku elfu moja za serikali zao viashiria gani katika sekta ipi vitaonyesha tunapiga hatua kuelekea katika nchi yenye uchumi wa kati? Mengine waulizwe papo kwa hapo wasije wakajitayarisha tushindwe kuelewa uwezo wao wa kuajiriwa katika ofisi kuu ya nchi yetu n.k.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...