Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda akitoa Hotuba yake wakati wa kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mh. Felix Ntibenda ili aweze kutoa hotuba ya kufunga Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza leo wakati wa kumalizika kwa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
Mtaalam wa maswala ya Saikolojia, Chris Mauki akiwasilisha mada iliyohusu maswala ya Saikolojia, wakati wa Mkutano wa tano wa Wadau Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliomalizika leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Mtaalam wa maswala ya Saikolojia, Chris Mauki akiwasilisha mada iliyohusu maswala ya Saikolojia, wakati wa Mkutano wa tano wa Wadau Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) uliomalizika leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC, jijini Arusha.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...