Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Hai (Mwenye
kofia katikati) akishirikiana na wananchi wa Lukeni, Kata ya
Masama-Mashariki kufanya usafi katika Soko la Masama-Mula mwishoni mwa juma, katika
kampeni ya kutunza mazingira kwenye jimbo hilo iliyopewa jina la 'Keep
Hai Clean' ikitumia gari maalum la kukusanyia taka lenye uwezo wa kubeba
tani 32 za taka ambalo Mbunge huyo alitoa msaada kwa wananchi wake hivi
karibuni.
Home
Unlabelled
MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AKISHIRIKI KAMPENI YA MAZINGIRA KATIKA SOKO LA MASAMA-MULA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Masoko yetu yanahitaji mapipamazuri ili yaweze kuwa katika hali ya usafi wakati wote, kazi za vijana zinaweza kupatikana za kusafisha soko.
ReplyDelete