Katibu Chama cha Wajane Tanzania John Shabani akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu kutoa
fursa ya kuzungumzia matatizo yanayowakumba wajane hasa wanawake na
watoto wao ili kurejesha haki zao na kupambana na umaskini kwa
kuwezeshwa.Kushoto ni
Mwenyekiti wa Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt.
Mwenyekiti wa Chama cha Wajane Tanzania, Rose Sarwatt.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika kikao mkutano wa chama cha wajanae hapa nchini mkutano ulifanyika katika ukumbi wa idala ya Habari MAELEZO leo Jiji Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...