Mbunge Joshua Nassar akiwa na mkewe Anande Nnko wakati wa sherehe ya kimila iliyoandaliwa na wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki baada ya kufanikiwa kumaliza mgogoro wa maji uliokuwepo katika baadhi ya vijiji.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akiwahutubia wananchi wa kata ya Leguruki na King'ori baada ya kufanikiwa kuvunjwa kwa bodi ya maji uliokuwa ikihudumia vijiji 15 katika jimbo hilo.
Mamia ya wananchi wakimsikiliza mbunge Joshua Nassar wakati akizungumza katika mkutano huo.
Mbunge Joshua Nassar alitumia pia mkutano huo ,kukabidhi magari mawili ya kubebea wagonjwa katika jimbo la Arumeru Mashariki.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2015

    Dogo Janja anatisha...hakuna wa kumkamata jimboni hapo. Njia nyeupe kurudi mjengoni.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2015

    Hamasisha maendeleo jimboni ili watu wafaidike na viongozi wanaotaka kuwakwamua kwenye kero

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...