Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2015

    Ni vizuri kwamba watanzania wanaoamini wana uwezo wa kuongoza nchi hii wanaendelea kujitokeza kueleza nia yao kabla ya kuchukua fomu za maombi. Nchi hii inahitaji mtu mwenye sifa za uongozi zitakazohamasisha watanzania kuharakisha maendeleo ya mtanzania wa kawaida.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2015

    Mbona kina baba tu? je kuna kina mama watajitokeza kutagaza nia?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2015

    YOU WILL HAVE MY VOTE MATE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...