Mifuko ya saruji 220 yenye thamani ya Zaidi Tsh
milioni 3.

Meneja
wa kanda ya nyanda za juu kusini wa PPF Bw. Ephrahim Mwaikenda
akimkabidhi msaada wa saruji mifuko 220 yenye thamani ya Zaidi Tsh
milioni 3 kwa Mkuu wa shule ya Sekondari Idodi, Christopher Mwasomola kwaajili ya kujengea majengo yaliyoungua moto katika shule ya Sekondari Idodi iliyopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...