Mtangaza nia ya kutaka kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Sospeter Muhongo (kulia), akizungumza jambo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Temeke, Robert Kerenge (kushoto), wakati alipofika Ofisi za chama hicho kwa ajili ya kutafuta wadhamini, Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Profesa Sospeter Muhongo (kushoto), akimshuhudia Katibu Kata wa Kata ya Mtoni wa CCM, Said Kabuma (kulia), akijaza jina lake kumdhamini, Ofisi za CCM, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam leo. Katikati ni mmoja wa waratibu wa zoezi hilo, kutoka timu ya Profesa Muhongo, John Melele.
Katibu Kata wa Kata ya Mtoni wa CCM, Said Kabuma (kulia), akizungumza jambo na Profesa Muhongo, alipokuwa akimshukuru, mara baada ya kumdhamini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2015

    Huyu akipata anaonekana akifikia wakati wa kumaliza muda wake usambazaji na uzalishaji wa umeme utaongezeka uchumi wa gesi utaeleweka unatugusa vipi sisi wenyenchi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...