Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Huduma kwa Wateja Tully Mwambapa akizungumza kwenye semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kuhusu huduma za fedha zinazotolewa na benki hiyo kwa serikali. Semina hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki katika hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza na kuhudhuriwa na viongozi na watumishi wa Halmashauri za Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika semina hiyo.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...