Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga Eugen Mwaiposa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2015.  Wengine pichani kutoka kushoto ni  Kaimu kiongozi wa Upinzani Bungeni, Tundu Lisu, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif Sefue na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid baada ya kuhudhuria sala na heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Egin Mwaiposa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 3, 2015.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wakufunzi na watalaam wa mashine za kuandikisha wapiga kura za BVR wakati alipotembelea Kituo cha mafunzo ya BVR kwenye Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Juni 2, 2015. 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii, NSSF, Dr. Ramadhani Dau, jijini Arusha Juni 3, 3015. Juni 2, Mheshimiwa Pinda alifungua Mkutano wa tano wa wadau wa NSSF.
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema  (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko la Hifadhi za jamii, NSSF, Dkt. Ramadhani Dau mjini Arusha Juni 3, 2015. Juni 2, Mheshimiwa Pinda alifungua Mkutano wa Tano wa Wadau wa NSSF. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...